[00:00.000] 作词 : Khery Sameer/Nasibu Abdul Juma/Sharif Said Juma[00:01.000] 作曲 : Khery Sameer/Nasibu Abdul Juma/Salmin Kasimu Maengo/Sharif Said Juma[00:02.888]Mmh Mmh[00:04.441]Ooh No No No[00:06.726]Jay Once Again[00:09.231]Penzi Zito Kilo Mia Hamsini[00:11.849]Vile Napata Rah Utaniambia Nini[00:13.434]kuna Muda Kama Siamini[00:17.236]Na Kuna Muda Ni Kaa Napendwa Na Jini[00:20.269]Maana Penzi Lako Ndege Mtini[00:22.527]Niko Matawi Ya Juu Nisha Tulia Mimi[00:25.826]For Your Love Let Me Sing Sing[00:27.834]Nisha Kolea Hatari Mapenzini[00:31.383]Chorus[00:33.159]Tamu Pipi Ya Kijiti (Anhaa)[00:37.188]Ukiilamba Unacheka[00:41.229]Na Kibaridi Hikii[00:53.116]Niozesheni Hata Ndo Ya Mkeka[00:54.653]Penzi Halishikiki (Anhaa)[00:55.672]Linavyo Tetemesha[00:56.962]Si Tufunge Muziki[00:57.970]Nikuonyeshe Jinsi Ninavyo Cheza[00:58.724]Mi Na Mapoz Na Mimi[00:59.488]Mapoz Na Mi[01:00.251]Mi Na Mapoz Na Mimi[01:01.003]Mapoz Na Mi[01:01.503]Mi Na Mapoz Na Mimi[01:02.344]Mapoz Na Mi[01:03.107]Mi Na Mapoz Na Mimi[01:04.360]Mapoz Na Mi x2[01:11.980]Mmmh[01:13.989]Na Sio ndumba Wala[01:16.029]Raha Tuu Zimeniziidi[01:19.291]Sio Mambo Mitala[01:21.050]Penzi Mwenyewe Nafaidi[01:23.886]Nakumbatwa Kwa Baridi[01:29.658]Usinione Nnang’ara[01:31.914]Natunzwa Habibi[01:36.688]Matikiti Kudondokaa[01:39.201]Matikiti Kudondokea[01:41.965]Marafiki Huwa Ni Nyoka[01:44.474]Hivyo Chunga Wanayoongea[01:47.269]Nikande Kande Nikichooka[01:49.809]Sio Narudi Unanifokea[01:52.568]Ona Mweni Nilikotokaa[01:55.078]Mambo Fyongo Hayajaninyookea[02:01.413]Tamu Pipi Ya Kijiti (Anhaa)[02:02.405]Ukiilamba Unacheka[02:02.907]Na Kibaridi Hikii[02:04.234]Niozesheni Hata Ndo Ya Mkeka[02:06.993]Penzi Halishikiki (Anhaa)[02:09.532]Linavyo Tetemesha Jamani[02:11.838]Si Tufunge Muziki[02:14.412]Nikuonyeshe Jinsi Ninavyo Cheza[02:16.670]Mi Na Mapoz Na Mimi[02:18.682]Mapoz Na Mi[02:20.438]Mi Na Mapoz Na Mimi[02:21.943]Mapoz Na Mi[02:23.462]Mi Na Mapoz Na Mimi[02:24.720]Mapoz Na Mi[02:25.988]Mi Na Mapoz Na Mimi[02:40.036]Mapoz Na Mi x2